STOP: Wasanii Wampiga Benchi Steve Nyerere Msiba wa Majuto

2018-08-10 8

#stevenyerere #msibawamajuto #majutoafariki
Chama cha Wasanii Mkoa wa Kinondomi (TDFAA) Kimempiga benchi msanii Steve Nyerere kujihusisha na mipango ya kuandaa mazishi ya marehemu Mzee Majuto, miezi kadhaa iliyopita Steve Nyerere alishutumiwa na ubadhirifu wa fedha za rambirambi za misiba. Nini maoni yako?
Kwa Matangazo Wasiliana nasi 0713338861

Free Traffic Exchange