Wosia huu wa Mzee Majuto utamliza JPM

2018-08-10 5

Maneno haya aliyazungumza tarehe 21 Januari, 2018 baada ya kutembelewa na Rais Magufuli hospitalini alipokuwa amelazwa... Na hii ndio kauli yake ya mwisho aliyozungumza ana kwa ana na Rais Magufuli hadi umauti ulipomfika hapo jana saa 1 na nusu Jioni. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake Mahali pema Peponi.