Watoto wa Remmy Ongala Wamuenzi Baba yao kwa Tamasha la Kimataifa
2018-08-08
2
Watoto wa Mwanamuziki Remmy Ongala, 'Aziza Ongala', 'Thomas Ongala', 'Jessica Ongala' wanakuja na tamasha la kumuenzi Remmy Ongala na kuendeleza vipaji vya muziki...tazama hapa.