Rais Magufuli amezungumza maneno haya kama wosia kwa viongozi wote walipo chini yake kuhakikisha wanatanguliza maslahi ya Watanzania kwanza kuliko kutanguliza Maslahi yao binafsi.