Shilole aeleza sababu ya kumchamba Muna 'hatumtaki baba wa Patrick'

2018-07-21 3

Msanii wa muziki, Shilole baada ya kusikia Muna amezungumza na waandishi wa habari juu ya msiba wa mtoto wake Patrick, amedai mdogo wake huyo hakupaswa kuzungumza kwa kuwa yote walishayamaliza siku ya mazishi.