Msanii mkongwe wa muzikin wa Bongo Fleva nchini, Dudubaya amedai kwa kitendo alichokifanya Muna kuzungumza na vyombo vya habari kabla ya 40 ya mtoto wake Patrick sio kizuri. Pia rapper huyo amemchana Nay Wamitego kwa kumshambulia Shilole kwa maneno yake aliyomtolea Muna.