DIAMOND PLATNUMZ: NAOMBA MUWAPENDE WATOTO WANGU WOTE

2018-07-11 13

DIAMOND PLATNUMZ msanii wa bongofleva amefafanua kuhusu UJUMBE aliomtumia mama yake BI SANDRA kwenye mtandao wa Instagram juu ya kutombagua Mtoto aliyezaa na Mwanamitindo HAMISAMOBETTO DAYLAN kama inavyosemekana na kuonekana kwenye mitandao ya kijamii.,