Kangi Lugola 'analiamsha dude'. Tazama anachokimaanisha?

2018-07-10 1

Msemo wa 'Amsha dude' umekuwa maarufu miongoni mwa wazungumzaji wa Kiswahili katika siku za karibuni lakini kwa waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola unamaanisha nini? Je, una uhusiano na wadhifa wake? Lugola 'ANALIAMSHA DUDE' kwenye MIZANI YA WIKI akihojiwa na Faraja Sendegeya