INAUMA: Hali ya LULU Leo msibani kwa PATRICK

2018-07-08 4

INAUMA: Hali ya LULU Leo msibani kwa PATRICK

Moja kati ya mastaa ambao ni watu wa karibu zaidi wa muigizaji Muna Love ni Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye pia alikuwa ni rafiki wa Mtoto Patrick ambaye ameaga dunia hapo jana huko jijini Nairobi nchini Kenya.

Lulu amefanikiwa kufika msibani maeneo ya Mbezi Jogoo na kushughulika mwanzo mwisho katika msiba huo akiwa kama mwanafamilia kwani hata kipindi cha kesi yake Muna alikuwa akiambatana naye kila siku mahakamani.

Mwili wa Patrick unatarajia kuwasili mapema Ijumaa ya Julai 6, 2018 na shughuli nyingine za msiba zitaendelea baada ya mwili kuwasili.

Install GlobalPublishersApp Android: iOS: Subscribe FACEBOOK: ... TWITTER:

Visit , Subscribe Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…

/c/uwazi1 WEBSITE: FACEBOOK: ... TWITTER: INSTAGRAM: