ZIMEFICHUKA-Sababu Za Kifo cha Patrick- Mtoto wa Munalove na Casto

2018-07-04 4

MSANII wa Filamu za Bongo na mdau wa Muziki wa Bongo Fleva, Rose Alphonce ‘Muna Love’ na mtangazaji Casto Dickson, wamefiwa na mtoto wao aitwaye Patrick ambaye amefariki leo Julai 3, 2018 akiwa nchini Kenya akipatiwa matibabu.

Munalove alipohojiwa na Mwananchi tarehe 24/03/2018, aliweka wazi tatizo linalomsumbua mtoto wake la mguu na huenda ndio chanzo na sababu kubwa zilizopelekea umauti wa Kipenzi chetu Patrick.

Hata hivyo bado familia ya Muna na Casto haijaweka wazi chanzo kikuu cha kifo cha Patrick.