MTOTO PATRICK Awaliza Mastaa Bongo, Munalove Alichoposti

2018-07-04 27

Subscribes:
Kama nimtumiaji wa Mitandao ya kijamii specially Instagram utakuwa umekutana na picha ya Mtoto Patrick ambaye ni mtoto wa Mtangazaji Casto Dickson pamoja na msanii wa filamu Rose alphonce Muna .

Sasa habari mbaya ni kwamba mtoto huyu amefariki Dunia akiwa katika matibabu huko nchini Kenya watu mbali mbali walianza kumchangia Mtoto Huyu Ili zipatikane Fedha zitakazoweza Kumsaidia katika Matibabu yake

Taarifa za Kuumwa kwake zilianza kusamba katika mitandao mbali mbali ya kijamii baada ya kuonekana akiwa ICU akiendelea na Matibabu Huku Sababu Za Kuumwa kwake zikiwa Bado hazijafahamika

Sasa Mastaa mbali mbali wamepost kwenye kurasa zao kuhusu kifo cha Mtoto Patrick ambaye amejizolea umaarufu mkubwa Baada ya taaarifa za kuumwa kwake

Subscribes:

Free Traffic Exchange