20 WAFA KATIKA AJALI MBEYA

2018-07-03 2

-Wapo wanne wa mtaa mmoja walikuwa wakimsindikiza mwenzao aliyefiwa na mama yake msibani eneo la Mbalizi nje kidogo ya Jiji la Mbeya.