BREAKING:DIAMOND ANUSURIKA KIFO,APATA AJALI MBAYA BAADA YA SHOW MAREKANI.
2018-06-23
7
Nguli wa muziki wa bongo fleva Diamond platnumz amepata ajali mbaya baada ya kutoka kwenye show aliyofanya usiku wa jana Oakland California nchini marekani-jionee mwenyewe.