BREAKING: Mzee Majuto Arejea kutoka India, Atangaza Kustaafu!

2018-06-23 2

BREAKING: MZEE MAJUTO AKIWASILI UWANJA WA NDEGE KUTOKA INDIA

Mchekeshaji nguli nchini Tanzania, Mzee Majuto amewasili nchini na kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea nchini India alikokuwa amekwenda kwa ajili ya matibabu.

Majuto alipelekwa nchini humo kutokana na matatizo ya kiafya ambapo safari yake hiyo ilisimamiwa na Rais John Pombe Magufuli.

Install GlobalPublishersApp Android: iOS: Subscribe FACEBOOK: ... TWITTER: Visit , Subscribe Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… WEBSITE: FACEBOOK: ... TWITTER: INSTAGRAM: ..