''WANAJESHI'' WALIOFARIKI KATIKA AJALI KUAGWA MBEYA

2018-06-20 2

Vijana 10 wa Jeshi la Kujenga Taifa JKT pamoja na askari mmoja wa JWTZ waliofariki katika ajali eneo la Igodima Jijini Mbeya wakitokea katika mafunzo ya Jeshi mkoani Tabora kuelekea Mbeya wanatarajiwa kuagwa kesho katika Kikosi cha 844KJ Itende JKT Jijini Mbeya