Ni hatari: Amber Lulu amwaga radhi stejini/ Ageuka kituko
2018-06-17
1
Msanii wa muziki Amber amefanya kufuru ya mwaka katika Tamasha Sport Music Festival lililofanyika mkoani Geita Ijumaa hii. Muimbaji huyo aliwa stejini alimpandisha mwanaume na kuanza kucheza naye.