SAM WA UKWELI ALITABIRI KIFO CHAKE SIKU NNE KABLA YA KIFO

2018-06-10 17

Mara paaaah! ukisikia wimbo "sina raha" na "ata kwetu wapo" kwenye taswila ya akili na uso wako inakujia picha ya sura ya mwanamuziki Sam wa ukweli hizo ni moja ya nyimbo zilizowai kufanya vizuri kwenye ulimwengu wa burudani na kwa wapenzi wa muziki hapa nchini tanzania na nje ya tanzania ila leo hii tunasema #r.i.psamwaukweli

Kupitia vitabu vya dini vinatueleza kuwa sherehe za binadamu ni tatu ambazo ni KUZALIWA,KUOWA na KIFO.

Maisha ya binadamu ni safari ndefu na mungu ndiye ajuhae safari ya maisha ya binadamu mwisho wake,ili linadhihilisha wazi kuwa sote duniani tunapita kwa mifano tosha ya vifo vya ndugu zetu na jamaa zetu kikubwa ni kumshukuru mungu kwa kusema ameen au inna lilah wainna ilayh rajiun.