Timamu Tv imefika eneo alikokuwa anaishi Sam wa Ukweli Ilala Sharif Shamba Dar Es Salaam na kuongea na Mjumbe wa mtaa huo amefunguka vitu vingi