Ilivyokuwa studio Sam wa Ukweli akirekodi wimbo wake kabla ya kifo

2018-06-08 3

Producer Steve aliyetaarisha wimbo wa marehemu Sam wa Ukweli kaendelea kuadithia historia ya wimbo huo ambao marehemu alikuwa akirecord mpka mauti kumkuta ambapo amesema Sam alikuwa akirecord wimbo huo huku akiimba kwa hisia sana mpaka machozi kumtoka kitu kilichowafanya waliokuepo studio wasimuangalie.