Aliyekua mwenyekiti wa Yanga Yusuf Mehboob Manji anasubiri tu mkutano wa Yanga wanachama ili akabidhiwe timu rasmi kwa mfumo wa hisa 49% kama sheria inavyosema. Hali ya furaha kwa wanachama wa yanga na mashabiki inatarajiwa kurejea rasmi pale tajiri huyo atakapokua na timu rasmi.