Maria na Consolata walifariki Dunia Jana jioni. Daktari ameeleza sababu za kifo cha mapacha hao walio ungana sehemu ya chini ya mwili kuanzia kifuani ambao wameishi kwa mda wa miaka 22. Mipango ya Mazishi inaendelea kufanyika na wanatajiwa kuzikwa katika makaburi ya Tosamaganga mkoani Iringa. Mpaka wanafariki Maria na Consolata walikuwa ni wanafunzi wa Chuo cha Ruaha (RUCO) kilichopo mkoani Iringa.
Usipitwe na Matukio Muhimu kila siku na taarifa za Habari Mubashara yaani Live kila siku kwenye Channel hii. Subscribe sasa na bofya alama ya kengere inayotokea baada ya Subscribe. Fungua Link hii .