Haya ni baadhi ya magoli bora yaliyofungwa msimu wa Vpl 2017/18 katika viwanja mbalimbali ambapo hadi mwisho Simba ndio timu iliyoibuka bingwa wa VPL.