Mtoto gumzo kwenye mitandao ya kijamii Antony Petro aliyepata mfadhili wa kumsomesha katika shule ya Amani Vumwe ambapo kwa mitihani ambayo ameifanya kwa mara ya kwanza imeelezwa kwamba amefaulu kwa 100%,Mwalimu faudhia ambaye anamfundisha kaeleza kila kitu kwenye hii exclusive