NI HUZUNI: Mtoto awaliza watu kwenye msiba wa Mbunge wa CHADEMA

2018-05-29 6

Mtoto wa kike wa Mbunge wa Bayungu, Kasuku Bilango akimlilia baba yake kwa uchungu na kusababisha vilio kuongezeka eneo la viwanja vya Karimjee