'Dr. Shika anaweza kufungwa Miaka Mitatu jela kuhusu Mabilioni yake kuwasili' Wakili

2018-05-27 3

Leo May 25, tunayo story kuhusu Dk.Shika ambaye ana trend katika mitandao na vyombo mbalimbali vya habari kuhusu kupokea kwa Mabilioni ya Pesa zake kutoka nje ya nchi.


Sasa tunaye Mwanasheria, Leonard Manyama ambaye anatueleza Kisheria endapo MTU akijitangaza ana Pesa nyingi na hali ya kuwa ni uongo anaweza kuhukumiwa kifungo cha miaka 3 ama faini ya Sh.Mil 5....

Free Traffic Exchange