Usajili Yanga:Tazama uwezo wa mshambuliaji mpya wa Yanga

2018-05-24 7

Yanga inamuwinda kinda mwenye uwezo mkubwa kutoka Ndandafc Tiba John,hii ni baada ya kushindwa kumnyakua Adam Salamba wa Lipuli fc.