Magazeti ya michezo leo Jumatano tarehe 23/5/2018 yakiwa yametawaliwa na habari za ushindi wa Yanga dhidi ya mbao fc pia Mohammed Ibrahim inasemekana naye mambo safi Yanga.