DIAMOND: "Mobeto Siyo Mama Yangu Siwezi Kuja Nae"
Kila inapofika Mei 13 dunia nzima inaadhimisha siku ya wakinamama duniani ambapo muigizaji maarufu nchini, Aunt Ezekiel aliitumia siku hiyo kuzindua short Film yake inayokwenda kwa jina la 'MAMA' ambayo ni maalum kwa wakinamama wote kupewa heshima zao.
Uzinduzi huo ambao umefanyika katika ukumbi wa Mlimani City na kuhudhuriwa na mastaa kibao akiwemo, Diamond Platnumz, ambaye amempongeza Aunt kwa kuandaa film hiyo ya wakinamama na kuweka wazi kuwa anawathamini wamama wote ndiyo maana hata amekuwa baba bora kwa kuhakikisha watoto wake wote wanaishi ghorofani.
lnstal GlobalPublishersApp Android: iOS: Subscribe FACEBOOK: ...
TWITTER: Visit , Subscribe
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… WEBSITE: FACEBOOK: ... TWITTER: INSTAGRAM: ..