HAKI YAKE MUNGU
Ni wimbo unaosisitiza kutenda haki kwa kila mmoja (viongozi wa seriakali, dini na wananchi). Mungu wetu ni mwenye haki na anapenda tuenende katika haki ndipo tutabarikiwa.
HAKI HUINUA TAIFA (Mithali 14:34)
Barikiwa na wimbo huu!!
Neema Gospel Choir
P.O. Box 45220
Dar es salaam
Email: neemagospelchoir@gmail.com
Instagram: neema_gospel_choir
Facebook: Neema Gospel Choir
Whatsapp: +255 766 777 288