JOTI atoa ufafanuzi NYUMBA YAKE KUBOMOLEWA

2018-05-04 4

Mapema leo kumekua na taarifa zinazosambaa sana kwenye mitandao ya kijamii taarifa zinazosema nyumba ya mchekeshaji JOTI imewekewa X na itabomolewa hivi karibuni kupisha upanuzi wa barabara
JOTI ametoa ufafanuzu juu ya shwala hilo sikiliza hapa

SUBSCRIBE CHANNEL HII ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI NA MATUKIO MBALIMBALI
Bofya hapa