NANDY KAZUNGUMZIA ALIYEVUJISHA VIDEO YAKE NA BILLNAS, AJISALIMISHA

2018-05-04 1

Msanii Nandy ambaye alikuwa kwenye headlines siku za hivi karibuni baada ya kusambaa video ikimuonesha akiwa na msanii Billnas wakiwa kitandani nusu utupu, amezungumza leo kuhusu ishu hiyo ambapo kaeleza kuwa alijisalimisha polisi.

Free Traffic Exchange