JPM agoma kupandisha mishahara, atoa sababu 10

2018-05-03 2

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. John P. magufuli ametangaza kuwa kwa sasa serikali yake haiwezi kuongeza mishahara kwa wafanyakazi maana kuna mambo mengi sana ya msingi yanatakiwa kutekelezwa na serikali. Hivo amewaaomba wafanyakazi kuwa na subira kwa muda ili kupisha mambo hayo makubwa kutekelezwa na baadae kila kitu kitakuwa sawa.