Seven Mosha: Alikiba kuja na 'suprise' kwenye harusi yake Serena Hotel
2018-04-30
9
Meneja wa maswala ya kibiashara wa mwanamuziki mashuhuri Alikiba, Seven Mosha, amesema msanii huyo atafanya jambo la kipekee sana katika harusi yake inayofanyika kwenye hoteli ya Serena.