Vituko vya Idris Sultan kwenye harusi ya Alikiba, Serena Hoteli
2018-04-29
6
Mchekeshaji anayetamba kwenye mitandao ya kijamii, Idris Sultan, amedhihirisha umahiri wake kwenye fani ya uchekeshaji, alipohojiwa na watanzaji wa Sinema Zetu kwenye harusi ya Alikiba na Abdukiba