SHOW YA RICK ROSS NAIROBI, KENYA #NRGWave 2

2018-04-29 1

Tazama SHOW ya Rick Ross aliyofanya mjini Nairobi, Kenya Carnivore April 28.

LilOmmy alipa na Precision Air ili kufika eneo la tukio LIVE na kukuletea kilichotokea. ni Show kubwa ya HISTORIA. Tazama ilivyokuwa. Pakua Lil Ommy App pia kwa videos na news. ingia lilOmmy.com |

Hakikisha una Subscribe hapo chini, Angalia show mwanzo mwisho, Gonga Like, Angusha Comment yako kisha Share Link na washkaji kwa Whatsapp, facebook au twitter.

Follow me on:






Cc: