SIKILIZA UCHUNGU WA MAMA ALIYEPOTEZA MTOTO KWA KUCHOMWA KISU NA NDUGU

2018-04-29 1

Kisa hicho kilitokea Jumatatu, wiki hii eneo la Kigamboni Muungano, baada ya Deta aliyekuwa akiishi na mama yake mdogo, Magreth kumuua mdogo wake kwa kumchoma kisu kitovuni kisha kumficha uvunguni mwa kitanda na kukimbilia kwa rafiki yake wa kiume.