Tukio lililo washangaza wengi, ni alikiba kumgeuzia mkono msanii mwenzake diamond platnumz. Maswali mengi watu wanajiuliza kwanini afanye vile, nimekuwekea baadhi ya sababu kubwa ambazo kwa utafiti wangu niliofanya mtandaoni nimegundua haya. TAZAMA video mwanzo mpaka mwisho,
Nakukumbusha tu Kwako wewe ambaye bado haujasubscribe, Bonyeza subscribe hapo juu ili uwe wakwanza kupata mpya zote za town.
Ni follow Instagram @Chitazedochi Twiter @chitazedochi.
Usisahau kuweka comment yako, like na share kwa Wengine pia.