Komando avuta gari kwa kutumia meno kwenye Sherehe za Miaka 54 ya Muungano
2018-04-27
2
Tazama onesho zima la Makomando wakinogesha Sherehe za Muungano.
Ni katika maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, sherehe zikifanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.