MWANZO MWISHO: Mazishi ya Masogange, Mwanae Atakutoa Machozi

2018-04-26 2

MWANZO MWISHO: Mazishi ya Masogange, Mwanae Atakutoa Machozi

MAMIA ya wananchi wakazi wa Utengule, Mbalizi na maeneo ya karibu wamejitokeza kuungana na familia, ndugu, jamaa, marafiki na wasanii kuupokea mwili wa msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ ambao umewasili kijijini kwao kwa ajili ya mazishi

Mwili wa marehemu umewasili kijijini hapo na kuzikwa mapema leo baada ya jana kuagwa katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam.

Masogange alifariki dunia Ijumaa iliyopita katika kituo cha Huduma za Afya cha Mama Ngoma kilichopo Mwenge jijini Dar ambapo jana aliagwa katika Viwanja vya Leaders na kusafirishwa kwenda kwao kuzikwa.

Instal GlobalPublishersApp Android: iOS: Subscribe FACEBOOK: ...

TWITTER: Visit, Subscribe

kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… WEBSITE: FACEBOOK: ... TWITTER: INSTAGRAM: ..
Category
News & Politics
License
Standard YouTube License