Makonda atazimia akisikia maneno haya ya Msukuma

2018-04-19 2

Mchango wa Mbunge kwenye sakata la Mkuu wa Mkoa wa DSM kuwaita wanawake waliotelekezewa watoto na baba zao, kwamba haukufuata sheria za haki za mtoto na heshima ya mtu mmoja mmoja.