Rais MAGUFULI Uso kwa Uso na Jakaya Kikwete Ikulu DSM

2018-04-14 0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DK JOHN MAGUFULI amezindua taasisi ya Jakaya Kikwete IKulu jijini Dar es salaam na kusisitiza asasi za kiraia kufanya kazi ya kuhimiza amani.