Asante Kwasi alipoipa Simba bao la pili dhidi ya Mbeya City - VPL 2017/18

2018-04-13 4

Ilikuwa dakika ya 32 baada ya mabeki wa Mbeya City kudhani kuwa Beki Asante Kwasi alikuwa ameotea.

Ni mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) ikipigwa kwenye dimba la Taifa

Free Traffic Exchange