MWANAFUNZI AUAWA KWA TUHUMA ZA KUBAKA MTOTO NA KUMUUA

2018-04-11 37

BALAA LA KUSIKITISHA!!!
Mvulana wa miaka 14 alipigwa na wanakijiji hadi kufa baada ya mwili wa mtoto wa darasa la tano kupatikana chumbani kwake. Mvulana huyo wa kidato cha kwanza anadaiwa kumbaka msichana huyo na kisha kumnyonga kwa tai ya shule na kisha kuficha mwili uvunguni mwa kitanda chake.

Nini maoni yako juu ya tukio hili la kusikitisha?
Comment maoni yako hapo chini.
Like Video hii ili kuonesha kwamba tupo pamoja tuendelee kukuletea story kali zaidi muda wote.

SUBSCRIBE, LIKE, SHARE UJISHINDIE ZAWADI NONO YA SIMU BOMBA. PIA SUBSCRIBE CHANNEL HII PAMOJA NA KUBOFYA ALAMA YA KENGELE ILA UPATE TAARIFA MARA TU HABARI MPYA INAPOWEKWA HEWANI. UNAWEZA KUSHEA VIDEO ZETU KWENYE GROUPS MBALIMBALI ZA WhatsApp na Facebook.