“Serikali mnafanya mambo ya ajabu, mtufukuze na sisi” –Musukuma

2018-04-07 3

Mbunge wa Geita Joseph Musukuma ameshauri Wabunge wote kuungana kuishinikiza Serikali kutoa tamko la kuwarudisha kazini watumishi wote waliofukuzwa kazi kwa kigezo cha kuishia darasa la saba ikiwa wamezitumikia nafasi zao hizo kwa muda mrefu

Free Traffic Exchange