Diamond wakati Rais Magufuli anapokea Bombardier

2018-04-03 3

Ndege yetu Bombardier Dash-8 Q400 imetua salama uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. Rais Magufuli pamoja na wadau mbalimbali akiwemo muimbaji Diamond Platnumz alikuwa uwanjani hapo.