A-Z: Hamisa Mobeto na Diamond Platinumz Walivyomlipa Zari Dubai

2018-04-03 4

Diamond na Mobeto Wakumbatiana mbele ya Wema Sepetu kwenye Zile tuzo zilizokuwa zikiwaniwa kwa muda mrefu za ‘Sinema Zetu International Film Festival’ zilizoandaliwa na kituo cha Azam Tv, hatimaye zimefikia tamati na wasanii mbalimbali wa filamu wamejitokeza katika ukumbi wa Mlimani City, kwa ajili ya kushuhudia nani ataibuka kidedea na kujinyakulia tuzo katika vipengele tofauti tofauti.