Katibu Mkuu wa Yanga Sc,Charles Mkwasa ametangaza Mei 5/2018 ndiyo siku ambayo mkutano mkuu wa Yanga utafanyika.