MAKABURI YAFUKULIWA,BALOZI SEIF IDDI,HAMADI RASHIDI WATAJWA KWENYE MGOGORO WA CUF

2018-03-26 1

Katbu Mkuu wa chama cha wananchi Cuf Maalim Seif Sharif Hamad amewataja Makamo wa pili wa rais visiwani Zanzibar Balozi Seif Iddi,Waziri wa kilimo,mifugo na uvuvi wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar Hamadi Rashid Mohamed,Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki Habibu Mnyaa kuwa wanafanya kazi na Profesa Lipumba ya kutaka kusambaratisa cuf zanzibar

Free Traffic Exchange