Nyota wa Kimataifa wa Zimbabwe anaekipiga kunako klabu ya Yanga, Donald Ngoma amerejea kikosini rasmi leo baada ya kuwa majeruhi kwa muda mrefu.