HICHI NDICHO KILICHOMVUTIA IRINE UWOYA HADI KUOLEWA NA DOGO JANJA

2018-03-17 12

Ikiwa ni Msimu wa Malkia wa nguvu leo katika Leotena Cloudsfm alikuwepo Irine Uwoya ambapo alisindikwiza na mumewe Dogo janja..Irine amezungumzia mambo mengi ikiwepo kilichomvutia hadi kukubali kuolewa na dogo janja tazama video hii